Google Gemini

4.5
Maoni 9.64M
500M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Miaka 12 kwenda juu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Chochea zaidi tija na ubunifu wako ukitumia Gemini, kiratibu chako kinachotumia AI kutoka Google.

Gemini inakuwezesha kutumia moja kwa moja, mifumo bora zaidi ya akiliunde kutoka Google kwenye simu yako ili uweze:

- Kupiga gumzo la moja kwa moja na Gemini ili kujadili mawazo, kurahisisha mada changamano na kufanya mazoezi kabla ya matukio muhimu. Bofya tu kitufe cha Gemini Live katika programu yako ya Gemini
- Kuunganisha kwenye programu uzipendazo za Google kama vile huduma ya Tafuta, YouTube, Ramani za Google, Gmail na nyingine nyingi
- Kusoma kwa ustadi na kuchunguza mada yoyote ukitumia taswira wasilianifu pamoja na mifano ya ulimwengu halisi
- Kubadilisha faili yoyote iwe podikasti unazoweza kusikiliza wakati wowote, mahali popote.
- Kubuni picha zinazopendeza ukitumia Google AI kwa kuandika vidokezo vya maneno machache tu.
- Kupanga safari kwa ubora na haraka zaidi
- Kupata mihtasari, uchanganuzi wa mada na viungo vya vyanzo, vyote katika sehemu moja
- Kujadili mawazo mapya au kuboresha mawazo yaliyopo

Boresha hali yako ya kutumia programu ya Gemini kwa kujisajili kwenye mpango wa Pro. Tumia vipengele vipya na vyenye uwezo mkubwa ili utekeleze majukumu pamoja na miradi changamano na ufurahie kiwango kinachoongoza katika sekta cha kubaini muktadha cha tokeni milioni 1 (kinachoiwezesha Gemini kuchakata hadi kurasa 1,500 za maandishi au mistari elfu 30 ya msimbo) pamoja na:
- Kupata uwezo zaidi wa kufikia mfumo wetu wenye uwezo zaidi, kama vile 2.5 Pro
- Kutayarisha na kukagua ripoti za kina kuhusu mada yoyote ukitumia Deep Research inayoendeshwa na 2.5 Pro
- Kugeuza maneno kuwa klipu za video za sekunde 8 zenye ubora wa juu ukitumia zana ya kutayarisha video kwa kutumia Veo 3 na zaidi.

Google AI Pro inapatikana katika nchi na maeneo 150 na inajumuisha manufaa ya ziada. Programu ya Gemini, kama sehemu ya Google AI Pro, itaendelea kupatikana katika mipango ya Google Workspace ya biashara na ya elimu inayotimiza masharti. Pata maelezo zaidi: https://gemini.google/subscriptions/

Nufaika zaidi na Gemini programu kwa kujisajili kwenye mpango wa Ultra. Pata ufikiaji wa kiwango cha juu zaidi na vipengele vya kipekee ili ugeuze chochote kiwe unachotaka. Pata ufikiaji wa kiwango cha juu
zaidi cha mfumo kutoka Google wenye uwezo zaidi, kama vile 2.5 Pro na vipengele kama vile utayarishaji wa video kwa kutumia Veo 3 na Deep Research. Pia, utapata ufikiaji wa mapema ili ujaribu uvumbuzi wetu mpya zaidi wa AI kadiri unavyopatikana, ikiwa ni pamoja na Agent Mode.

Gemini kwenye Google AI Ultra inapatikana nchini Marekani na inajumuisha manufaa ya ziada kama sehemu ya usajili wa Google AI Ultra. Kwa sasa, Google AI Ultra haipatikani kwa wateja wanaotumia Google Workspace ya biashara na elimu. Pata maelezo zaidi: https://gemini.google/subscriptions/

Ukichagua kutumia programu ya Gemini, itachukua nafasi ya Kiratibu cha Google kama kiratibu cha msingi katika simu. Baadhi ya vipengele vinavyotumia sauti vya programu ya Kiratibu cha Google bado havipatikani kupitia programu ya Gemini. Unaweza kubadilisha ili utumie programu ya Kiratibu cha Google kwenye mipangilio.

Soma Ilani ya Faragha ya Programu za Gemini:
https://gstatic12.finance.includesecuirty.com/gemini?p=privacy_notice
Ilisasishwa tarehe
1 Jul 2025
Habari zinazoangaziwa

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine11
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.5
Maoni 9.35M
Lutema sen sengo Lutema
9 Agosti 2025
good
Je, maoni haya yamekufaa?
MTEULE KAHANGILE
8 Agosti 2025
👍
Je, maoni haya yamekufaa?
Pradius p Patrick
14 Aprili 2025
nzuri sana
Watu 11 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya

Programu ya Gemini sasa inapatikana katika lugha na nchi zaidi. Angalia upatikanaji kwenye Kituo cha Usaidizi. https://gstatic12.finance.includesecuirty.com/?p=gemini_app_requirements_android