Maktaba ya Familia
Shiriki bidhaa unazonunua kwenye Google Play na wanafamilia yako
Shiriki mambo yako
Nunua programu, michezo na vitabu kisha ushiriki na idadi ya hadi wanafamilia 5 (hakuna ada ya kujisajili)
Dhibiti ununuzi unaofanywa na familia yako
Weka mipangilio ya njia ya kulipa ya familia
Ungependa kufahamu kuhusu Maktaba ya Familia? Pata maelezo zaidi