Tizi Hospital City Michezo

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
3.5
Maoni elfu 21.5
10M+
Vipakuliwa
Zimeidhinishwa na Walimu
Daraja la maudhui
Miaka 3 kwenda juu
Unahitaji toleo la beta la Michezo ya Google Play ili usakinishe mchezo huu kwenye Windows. Kwa kupakua toleo la beta na mchezo, unakubali Sheria na Masharti ya Google na Sheria na Masharti ya Google Play. Pata maelezo zaidi.
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Je unawajua mashujaa ambao wanavaa joho nyeupe? Ndio, upo sahihi hao ni madaktari wetu! Umewahi kuota kuokoa maisha ya mtu flani? Basi Mji wa Tizi - Hospitali ni sehemu sahihi ambayo inakupa matumaini ya jukumu la kucheza kama daktari na okoa maisha ya watu wako

Pata uzoefu wa ugumu wa maisha ya hospitali ukiwa na mchezo huu na cheza kwa kujifanya mgonjwa au mtu wa dawa au daktari. Vumbua kila floo kuanzia sehemu ya ambulensi hadi chumba cha uchunguzi wa CT scan. Ndani ya Mji wa Tizi - hospitali, una machaguo ya kazi nyingi kama dentist,Osteopathic, Radiologist, au Surgeon. hivyo unasubiri nini, pakua mchezo huu sasa!

Ingia kwenye changamoto halisi za maisha ambazo madaktari wanakutana nazo kila siku na kuwa mpangaji wa hospitali yako. Tengeneza hadithi inayohusu ratiba za uchunguzi, tibu magonjwa mbali mbali, chunguza kwa mtambo wa CT scan, na zaidi. Wafanye watoto wako wasimamaie hospitali zao & na kutengeneza huruma kwa wengine

Wasifu mkuu za mchezo huu ni:
Kuna zaidi ya wahusika 25 wa kucheza, wa viumbe tofauti tofauti, umri unawakilisha wagonjwa na madaktari
Ubunifu mwingi wa njia ya kucheza kwenye floo ya 5 ikiwa na sehemu tofauti tofauti za matibabu
Michezo mingi midogo inakusubiri ikiwa ya kila aina
Ni mchezo wa madaktari kwa watu wa kila umri
Inapendeza na muonekano wa hali ya juu
Pata mshituko mpya wa kufurahisha ndani ya kila chumba

Hivyo mnasubiri nini? Chunguza,tibu & waponye wagonjwa wako. Ishi maisha ya mtaalamu wa afya ukiwa na changamoto halisi za maisha. Njoo na pakua mchezo huu sasa!
Ilisasishwa tarehe
4 Jun 2025
Inapatikana katika
Android, Windows*
*Inaendeshwa na teknolojia ya Intel®

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

3.4
Maoni elfu 16.5

Vipengele vipya

Hello little caretakers, Hope you all are having an amazing time playing this fun doctor game. In this update, we have fixed bugs so that you can treat your patients without any interruption!! So get your doctor's coat on and Update the app NOW! If you like the game don't forget to leave us a 5-star review too!

Cheza kwenye kompyuta binafsi

Cheza mchezo huu kwenye kompyuta yako binafsi ya Windows ukitumia Michezo ya Google Play beta

Hali rasmi ya utumiaji kwenye Google

Skrini kubwa zaidi

Ongeza kiwango kupitia vidhibiti vilivyoboreshwa

Usawazishaji rahisi kwenye vifaa mbalimbali*

Jipatie pointi za Google Play

Masharti ya msingi

  • OS : Windows 10 (v2004)
  • Hifadhi: Diski Pepe (SSD) yenye GB 10 za nafasi ya kuhifadhi inayoweza kutumika
  • Picha: Toleo la kichakataji cha picha cha IntelⓇ UHD Graphics 630 au inayolingana
  • Kichakataji: Viini halisi 4 vya CPU
  • Kumbukumbu: GB 8 za RAM
  • Akaunti ya msimamizi ya Windows
  • Lazima uwashe kipengele cha toleo pepe la maunzi

Ili upate maelezo zaidi kuhusu masharti haya, tembelea Kituo cha Usaidizi

Intel ni chapa ya biashara iliyosajiliwa ya Intel Corporation au kampuni zake tanzu. Windows ni chapa ya biashara ya kundi la kampuni za Microsoft.

*Huenda hakipatikani kwenye mchezo huu

Usaidizi wa programu

Kuhusu msanidi programu
IDZ DIGITAL PRIVATE LIMITED
support@idzdigital.com
B-1801, Aquaria Grande, Devidas Lane Borivali West, Mumbai, Maharashtra 400103 India
+91 98672 34892

Zaidi kutoka kwa Tizi Town Games

Michezo inayofanana na huu